
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiambatana na Mwenyekiti wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab wakati wakiingia Ukumbiti tayari kwa kushiriki chakula cha jioni na Wadau mbali mbali wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa Nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF.Tafrija hiyo imefanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi tuzo kwa Makampuni na Mashirika mbali mbali ambayo idadi kubwa ya wafanyakazi wake ni wanachama NSSF,wakati wa tafrija ya Chakula cha jioni iliyofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha leo.




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni