.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Mei 2014

WAANDAJI WA MICHUANO YA GLASGOW 2014 WASITISHA UUZAJI TIKETI KWA TOVUTI

Waandaji wa michuano ya Jumuiya ya Madola 2013 huko Glasgow wamefunga tovuti yao ya kuuizia tiketi pamoja na laini za simu hadi hapo tatizo lililopo la uuzaji wa mfumo huo litakapopatiwa ufumbuzi.

Waandaaji hao wa Glasgow 2014 wamesema hatua hiyo waliochukua ilikuwa ni ya lazima ili kushughulikia hitilafu za kiufundi ambazo zilikwamisha uuzaji wa tiketi za ziada laki moja tangu jumatatu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni