.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

KIM KARDASHIAN, LUPITA NYONG'O WAVUTIA HAFLA YA MET GALA JIJINI NEW YORK


                                                                   Kim akiwa na Kanye
                                       Gauni la Kim Kardashian lawavutia wengi usiku huo 

 Nyota mbalimbali walihudhuria hafla ya Met Gala Jijini New York baadhi yao wakiwa wamezingatia muongozo wa hafla hiyo ambao kwa mwaka huu utaratibu wa mavazi ulikuwa kuvaa mitindo ya nguo ya miaka ya nyuma. 
                                     Joshua Jackson akiwa na mpenzi wake Diane Kruger
                                       Pozi kwa ajili ya kupata picha juu ya zulia jekundu
                                                 David Beckham akiwa na mkewe, Victoria
Kila aliyehudhuria alilipa kiingilio cha paundi 12,000 hadi 25,000. 
                                 Lupita Nyong'o na gauni la mtindo wa miaka 1920
                                                                          Jay Z na Beyonce 
                                                                    Rihanna nae alikuwepo

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni