.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

KOCHA WA CHELSEA JOSE MOURINHO ASEMA ANAHITAJI KUSAJILI MSHAMBULIAJI MUUAJI

Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amesema ni muhimu kwa timu hiyo kuongeza mshambuliaji mwenye makali ya kucheka na nyavu, ili kufanya vyema katika msimu ujao.

Matumaini ya Chelsea kutwa Ligi Kuu ya Uingereza yalizimwa baada ya kutoa sare ya 0-0 na timu inayokabiliwa na tishio la kushuka daraja ya Norwich.

Pia Chelsea ilipoteza michezo yake ya hivi karibuni dhidi ya Aston Villa, Crystal Palace na Sunderland.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni