.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

KUELEKEA KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014

 Muonekano wa nje ( juu ) na ndani ( chini ) wa uwanja wa Estadio Do Maracana nchini Brazil ambao unauwezo wa kuchukua mashabiki 76,804 kwa wakati mmoja. 

Uwanja huu upo katika mji wa Rio De Janeiro, moja kati ya viwanja ambavyo vitatumika katika fainali za Kombe la Dunia kuanzia mwezi June tarehe12' 2014.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni