.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

POMBE YA KIENYEJI YAUA WATU 8 HUKU WENGINE 35 WAKIWA MAHUTUTI HUKO KENYA

Watu 8 wamefariki dunia katika mtaa wa makazi duni wa Shauri Yako huko Embu baada ya kunywa pombe ya kienyeji ya kathaburia jana jumatatu. 

Katika tukio hilo, watu wengine 35 wamelazwa katika hospitali ya Embu wakiwa na hali mbaya, na watu 6 kati yao wamepoteza kabisa uwezo wa kuona.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni