.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Mei 2014

LEO NI MIAKA 10 TANGU MWANAMUZIKI BRENDA FASSIE AFARIKI DUNIA

Leo ni miaka 10 tangu mwanamuziki mahiri wa Afrika Kusini, Brenda Fassie afariki Dunia. 

Mwanamuziki huyo aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na uimbaji wake na jinsi ya kushambulia jukwaa, alifariki dunia May 09' 2004 katika hospitali ya Sunninghil Kaskazini mwa Johannesburg. 

Brenda Fassie alitamba na nyimbo zake mbalimbali zikwemo Vuli Ndela, Nomakanjani, Thola Amadlozi, Nakupenda, Too Late For Mama na nyinginezo nyingi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni