.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 7 Mei 2014

MAREKANI YAPELEKA MAKACHERO WAKE NIGERIA KUTAFUTA WANAFUNZI WALIOTEKWA

Wataalam wa ujasusi wa Marekani wametumwa nchini Nigeria, kusaidia kuwapata wanafunzi wasichana zaidi ya 200, waliotekwa mwezi uliopita na kundi la Boko Haram.

Rais Barack Obama wa Marekani amesema timu hiyo inahusisha wanajeshi, makachero pamoja na mawakala wa taasisi zingine za uchunguzi.

Mapema jana ilibainika kuwa wasichana wadogo wengine wanane walitekwa Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na wapiganaji.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni