.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 11 Mei 2014

NDEGE YA MAREKANI YAKATISHA SAFARI BAADA YA WAFANYAKAZI TISA KUUGUA ANGANI

Ndege ikiwa na abiria 185 imelazimika kugeuza angani wakati ikikatiza bahari ya Atlantic baada ya wafanyakazi wake tisa kuanza kujisikia vibaya na kupata kizunguzungu, wakiugua ugonjwa wa kutiririkwa na machozi.

Rubani wa ndege hiyo ya Shirika la Ndege la Marekani aina ya A330 Airbus alimtaarifu tatizo hilo muongozaji ndege wa uwanja wa Shannon wa Ireland, wakati ndege hiyo ikipaswa kutua Dublin.

Ndege hiyo ilitua salama katika uwanja huo na kuelekezwa kusima eneo la kando la uwanja huo ambapo abiria na wafanyakazi wa ndege hiyo walishushwa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni