.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Mei 2014

SOLANGE ADAIWA KUMPIGA JAY Z KUTOKANA NA RAPA HUYO KUSEMA ANAENDA KWENYE PATI YA RIHANNA BILA MKEWE

                                                                       Jay Z na Rihanna
Imebainika kuwa dada wa Beyoncé, Solange alimpiga shemeji yake Jay Z katika tukio la kushangaza lililotokea kwenye lifti baada ya tajiri huyo wa muziki kusema ataenda kwenye pati ya Rihanna bila ya mkewe Beyoncé.

Kwa mujibu wa New York Daily News, ugomvi huo ulichochewa na kitendo cha Jay Z, kumcheka Solange wakati marafiki wake wawili wakingia katika pati katika hoteli ya The Standard huko Manhattan na kudai ni rafiki wa Jay Z.

Kitendo hicho kilimkera Solange na kulazimisha yeye, Beyoncé na Jay Z waondoke, ndipo Jay Z aliposema kuwa yeye anaenda kwenye pati ya Rihanna bila ya mkewe Beyoncé, jambo lililomkera Solange na kuanza kumpiga.
                                                      Beyonce na ndugu yake Solange

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni