
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profefesa Makame Mbarawa (kulia) wakati wakizungumza na Wawekezaji katika Tekinolojia ya Mawasiliano kutoka Vietnam, Nguyen Quang (wa pili kulia) na Pham Dai Bach (katikati)l ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma May 10, 2014.
Wapili kushoto ni mwenyeji wa wawekezaji hao, Balozi F. Mdolwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni