.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 6 Mei 2014

WAZIRI MKUU WA THAILAND AFIKA MAHAKAMANI KUPANGUA TUHUMA ZINAZOMKABILI

Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra amefika katika mahakama ya Kikatiba mjini Bangkok kujitete dhidi ya mashitaka yanayomkabili ya matumizi mabaya ya madaraka. 

Endapo akipatikana na hatia, Waziri Mkuu huyo anaweza kuondolewa madarakani na pia kukumbana na adhabu ya kufungiwa miaka mitano kujihusisha na siasa. Maamuzi ya kesi hiyo kutolewa jumatano.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni