.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Juni 2014

KATIBU MKUU WA CCM KINANA AKUTANA NA WACHIMBAJI WADOGO MERERANI

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM leo alitembelea migodi ya wachimbaji wadogo wa Mererani na kuzungumza nao juu ya changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiangalia namna wachimbaji wadogo wanavyotumia mashine kubebea mchanga kutoka kwenye mgodi wa mchimbaji mzawa wa madini ya Tanzanite Bi.Suzie Didas Kennedy.Katibu Mkuu wa CCM leo alitembelea migodi ya wachimbaji wadogo wa Mererani na kuzungumza nao juu ya changamoto zinazowakabili na namna ya kuzitatua.

Baadhi ya Wachimbaji wadogo wa madini wakiwa juu ya kifusi kushuhudia ujio wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi alioambatana nao wakiangalia mgodi unaomilikiwa na wachimbaji wa Kitanzania na ambao nyenzo zake za kufania kazi wamebuni wao wenyewe.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu abdulrahman Kinana akikagua mradi wa ujenzi wa tanki la maji litakaloweza kuhudumia watu 25,000 na kutoa lita 36,000 kwa saa linalojengwa Naisinyai Mererani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni