.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 4 Juni 2014

UGONJWA WA EBOLA WAITESA GUINEA

Zaidi ya watu 208 wamefariki dunia tangu ugonjwa wa Ebola ugundulike nchini Guinea. Na taarifa zaidi zinasema watu 21 wamefariki dunia na wengine 37 wamegundulika kuwa na ugonjwa huo kati ya tarehe 29 May hadi June 01' 2014.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni