Wapiganaji wa Kiislam wanatuhumiwa
kuhusika na kulipua daraja kuu Kaskazini Mashariki wa Nigeria, na
kuathiri usafiri baina ya nchi hiyo na Cameroon.
Wenyeji wa eneo hilo wamesema malori
yenye bidhaa yamekwama katika njia kuua baada ya kushindwa kukatiza
juu ya daraja hilo la Ngala.
Tukio hilo la kushambuliwa daraja
hilo linaonyesha ni kwa jinsi gani kundi la Boko Haram lilivyohatari.
Siku ya jumanne, mkuu wa jeshi hilo
alisema baadhi ya wanajeshi waliondoka kutokana na kuwahofiwa
wapiganaji wa Boko Haram.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni