.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Julai 2014

BOMU LAUA WATU 21 KATIKA KIZUIZI CHA POLISI HUKO IRAQ

 Watu 21 wameripotiwa kufariki dunia baada ya bomu lililokuwa limetegwa katika gari kulipuka katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad. 

Bomu hilo ambalo lililipuka katika kizuizi cha polisi cha barabarani kabla ya kuingia katika wilaya ya Kadhimiya, liliua raia 13 papo hapo. Pia polisi 5 wameripotiwa kufa katika tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni