.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Julai 2014

JK AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA MATEMANGA TUNDURU - MANGAKA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbunge wa Tunduru mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga na mwakilishi Mkazi wa Benki ya maendeleo ya Afrika(ADB) Bibi Tonia Kandiero wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi Barabara ya kilometa 195.7 ya Matemanga Tunduru-Mangaka uliofanyika Tunduru mjini.Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika ADB na shirika la maendeleo la Japan JICA.Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika mjini Tunduru.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Matemanga-Tunduru hadi Mangaka yenye urefu wa kilometa 195.7 wakati wa hafla iliyofanyika mjini Tunduru leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mbunge wa Tunduru Mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga, Mwakilishi Mkazi wa ADB Bi.Tonia Kandiero na waairi wa Ujenzi John Pombe Magufuli. Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika ADB na shirika la maendeleo la Japan JICA.(picha na Freddy Maro)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni