Katekista wa Kanisa Katoliki Mwananyala akiongoza ibada ya kuaga mwili wa marehemu, Everlyne Michael Machellah nyumbani kwao Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis Dande) Ibada ikiendelea
Michael Machellah akiwa na waombolezaji wengine
Ibada ikiendelea.
Mama wa marehemu (kulia) akiwa na huzuni wakati wa ibada ya kuaga mwili nyumbani kwao Mwanyamala.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni