.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Julai 2014

ISRAEL YAENDELEA KUACHA VILIO UKANDA WA GAZA, NDANI YA SAA 24 MAJESHI YAKE YAUA WAPALESTINA 100

Zaidi ya Wapalestina 100 wameuawa katika siku moja baada ya majeshi ya Israel kushambulia ukanda wa Gaza kwa makombora ya angani, nchi kavu na baharini, mashambulio ambayo ni makubwa zaidi toka mgogoro wa pande hizo mbili uanze. 

Tangu July 08' 2014, Wapalestina 1,100 wameuawa wengi wao wakiwa ni raia, huku Israel ikushuhudia wanajeshi wake 53 wakipoteza maisha pamoja na raia 3.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni