.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 30 Julai 2014

WATU 24 WAFARIKI DUNIA KATIKA TAMASHA LA MUZIKI HUKO GUINEA

Watu 24 wameripotiwa kufariki dunia baada ya kutokea kukanyagana katika tamasha kubwa la ufukweni lililofanyika mji mkuu wa Guinea, Conakry hapo jana wakati wa kusherehekea sikukuu ya Eid. 

Kufuatia maafa hayo, serikali ya Guinea imetangaza wiki moja ya maombolezo ya kitaifa. 

Taarifa zaidi zinasema kuwa mamia ya watu wengine wamejeruhiwa katika tamasha hilo lilifanyika katika ufukwe wa Ratoma uliopo kaskazini mwa Conakry.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni