.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 23 Julai 2014

KIBABU CHAPANDWA NA MZUKA WA MUZIKI NA KUTUPA FIMBO ZA KUTEMBELEA

Kibabu kimoja kimewashangaza watu baada ya kutupa fimbo alizokuwa akitumia kutembelea na kusakata muziki kwa madoido katika harusi ya rafiki yake huko Peru.

Kutokana na umahiri alioonyesha kibabu hicho katika kuyarudi mangoma ya muziki wa Rock uliokuwa ukiburudisha watu, alijikuta akiwavutia wanawake wawili ambao walicheza nae.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni