.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 27 Julai 2014

MAJANGA YALIFANYA SHIRIKA LA NDEGE LA MALAYSIA KUFANYA MABADILIKO IKIWEMO KUBADILI JINA

Mkurugenzi wa Shirika la Ndege la Malaysia,Bw. Hugh Dunleavy akiongea na waandishi wa habari.
 
Shirika la Ndege la Malaysia linajipanga kufanya mabadiliko makubwa kufuatia matukio makuu mawili ya majanga yaliyolikumba shirika hilo ndani ya miezi sita.

Shirika hilo limesema linaangaliwa uwezekano wa kufanya mambo kadhaa katika kujiimarisha kibiashara ikiwemo kubadili jina la shirika hilo.

Katika mabadiliko hayo pia shirika hilo linafikiria kuanzisha safari katika njia mpya, na kuongeza ushirika na wadau wa usafiri huo ili kupata faida.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni