.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

MFUKO WA GEPF WAANDAA FUTARI YA MALENGO KWA WASANII WA BONGO MOVIES

Msanii wa Blongo Movie Bi Fatma Makongoro maarufu kama Bi Mwenda akipokea kadi ya uanachama kutoka kwa Meneja Masoko wa GEPF Bw Aloyce Ntukamazina.
Mweka hazina wa Bongo Movie Bw Cloud akifurahia kujiunga rasmi na Mfuko wa GEPF

Msanii Jacky Pentezel akipokea kadi ya uanachama baada ya kujiunga na Mfuko

Msaanii maarufu katika tasnia ya filamu Bi Blandina Chagula akionyesha kwafuraha kad iyake mpya ya uanachama baada ya kujiunga rasmi na Mfuko wa GEPF.


Msanii mkongwe katika bongo movie mzee Chilo nae hakuwa nyuma katika futari ya malengo kwa kujiandikisha na kujiunga rasmi na GEPF kwa ajili ya kujiwekea akiba.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni