.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Julai 2014

MVUA YASABABISHA MAAFA NCHINI UINGEREZA

Mafuriko yamesababisha adha katika eneo kubwa la Uingereza hii leo wakati mvua za vuli zikiharibu nyumba, vituo vya reli na kuwazuia watu kutoka nje ya nyumba zao.

Mafuriko hayo yamefikia kina cha futi moja katika baadhi ya maeneo, huku kikosi cha zima moto Essex kikiokoa watu katika nyumba zilizozingirwa maji, huku barabara nazo zikikatika na kuporomoka.

Katika mji wa Brighton radi imepiga katika miundombinu ya reli na kusababisha adha ya usafiri, na kukata umeme huku madereva wakipata shida kusafiri barabarani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni