Myanyua vitu vizito msichana mdogo
Chika Amalaha amesitishwa kushiriki michuano ya Jumuiya ya Madoka
baada ya vipimo kuonyesha kuwa ametumia dawa za kuongeza nguvu, baada
ya kushinda medali ya dhahabu kwa kunyanyua chuma cha uzito wa kilo
53.
Shirikisho la michuano hiyo limesema
jana Amalaha mwenye umri wa miaka 16 amebainika kutumia dawa
zilizopigwa marufuku katika sampuli ya vipimo A, vilivyochukuliwa
Julaia 25.
Mnyanyua vitu vizito huyo atafanyiwa
vipimo vya kimaabara vya B, Jijini London hii leo kubaini tena iwapo
dawa hizo zitabainika mwilini mwake.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni