.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 27 Julai 2014

RAIS KENYATTA AWATAKA VIONGOZI WA UPINZANI KUACHA LUGHA CHAFU

Rais Uhuru Kenyatta leo amewaambia viongozi wa upinzani nchini Kenya kuachana na masula ya kutoa lugha chafu na badala yake wajihusishe na siasa zenye kujenga nchi.

Amesema viongozi wa CORD wanaoongozwa na Raila Odinga wanapaswa kurejea kwenye siasa za kiutuuzima na kuachana na tabia ya kutoa mara kwa mara vitisho na lugha chafu kwa serikali iliyochaguliwa na wakenya wengi.

Rais Kenyatta amenukuliwa akisema “anamtaka kaka Raila kuheshimu cheo cha urais, kwani iwapo ingekuwa ni yeye Raila kachaguliwa kuwa rais, Kenyatta asingeweza kusimama barabarani na kumtukana”.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni