Bilionea Bill Gate ameipeleka
familia yake katika safari ya mapumziko ya bei mbaya katika Pwani ya
Sardinia, nchini Italia ambapo amekodi boti ya kifahari inayolipiwa
dola milioni 5 kwa wiki.
Boti hiyo yenye gharama ya dola
milioni 330, inaurefu wa futi 450, ikiwa na nyambizi, vyumba 12,
pamoja na helkopta kwa ajili ya kumbeba yeye na familia yake
anapotaka kwenda nchi kavu kucheza gofu.
Bill Gate akiwa kwenye boti na mkewe
Melinda, wanawe Rory, Jennifer na Phoebe.
Familia ya Bill Gate ikipata muda mzuri wa kutanua baharini



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni