Shirika la Ndege Kenya Airways
limesema litaendelea kusafiri nchini Liberia pamoja na nchi nyingine
za Afrika Magharibi, licha ya nchi hizo kukabiliwa na mlipuko wa
Ebola.
Shirika hilo la ndege la taifa la
Kenya, limesema tathimini za Shirika la Afya Duniani (WHO), pamoja
Chama cha Usafiri wa Anga (IATA) zote zimeondoa shaka juu ya kusambaa
kwa virusi vya Ebola kwa njia ya usafiri wa anga.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni