Mwanajeshi wa jeshi la Israel, Hadar Goldin mwenye miaka 23 ( picha juu ) ambaye alitekwa wakati wa mapigano kati ya majeshi ya Israel na kundi la Hamas katika ukanda wa Gaza imefahamika ameuawa.
Msemaji wa jeshi la Israel amethibitisha taarifa za kifo cha mwanajeshi wao.
Kifo cha mwanajeshi huyo kimezidisha hasira zaidi, na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamini Netanyahu amesema kuwa mashambulizi zaidi yatafanyika katika ukanda wa Gaza.
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamini Netanyahu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni