.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 23 Agosti 2014

KIM KARDASHIAN AANZA KUMFUNDISHA MTOTO WAKE KUTEMBEA

 Haya anza kujifunza kutembea mwanangu. Mwanadada anayetamba katika luniga Kim Kardashian ameonekana akiwa katika mitaa ya La Jolla, California nchini Marekani akiwa anamfundisha mtoto wake North West mwenye umri wa mwaka mmoja kutembea. Kim ni mke wa mwanamuziki Kanye West  
Acha uvivu we mtoto wa West, ngoja nikusaidie ni lazima uanze kutembea mwanangu

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni