.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 23 Agosti 2014

MISS TEMEKE 2014 APATIKANA, NI SITTI MTEMVU


Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely.


Mwanalibeneke Othman Michuzi akimvisha taji la Michuzi Blog Miss Photogenic 2014 Mrembo Lilian Loth (9) kwa niaba ya Ankal,baada ya kuonekana ndie Mrembo pekee mwenye mvuto wa picha katika shindano la Miss Temeke 2014,lililomalizika usiku huu kwenye Ukumbi wa TCC Club,Chang'ombe jijini Dar es salaam.

Baadhi ya Warembo wa Miss Temeke 2014 wakiongozwa na Michuzi Blog Miss Photogenic,Lilian Loth wakiwa kwenye picha ya pamoja kusubiria kutangazwa mshindi wa jumla wa shindano hilo. Picha kwa hisani ya Othman Michuzi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni