Manchester City wamethibitisha kuwa
wamekamilisha kumnasa beki wa kati Eliaquim Mangala kutokea klabu ya
Porto.
Inaaminika Manchester City
wamemng'oa Mangala Porto kwa kitita cha paundi milioni 32, na tayari
mchezaji huo amesema anajipanga kutwaa makombe na timu yake hiyo mpya.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni