Marais
wa Ufaransa na Ujerumani wameadhimisha kumbukumbu ya miaka 100 tangu
Ujerumani itangaze vita kuu ya kwanza duniani Agosti 3, mwaka 1994.
Raiswa Ufaransa
Francois Hollande na mwenzake wa Ujerumani Joachim Gauck,
wameadhimisha kumbukumbu hizo kwa kutoa heshima zao kwa wanajeshi
waliouwawa katika vita hiyo.
Marais hao pia
wataweka jiwe la kumbukumbu katika makaburi waliozikwa wanajeshi
waliopigana vita kuu ya kwanza ya dunia huko Vieil Armand.
Hapo kesho
kumbukumbu hizo zitafanyika nchini Ubelgiji katika kukumbukua uamuzi
wa Uingereza kutangaza vita dhidi ya Ujerumani.
Makaburi ya Wanajeshi wa Ufaransa na Ujerumani ya Vieil Armand


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni