.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 27 Agosti 2014

MWANAUME MMOJA ATIMULIWA KUPANDA NDEGE KWA MADAI YA KUNUKA VIBAYA

Mwanaume mmoja Mfaransa amedai alitimuliwa kwenye ndege ya Shirika la Ndege la Marekani, kutokana na kunuka vibaya kutokana na kutumia manukato ya Dior na kuambiwa akaoge kwanza na muhudumu wa ndege.

Mfaransa huyo mzaliwa wa Algeria aitwae Mehdi akiwa anapanda ndege alifuatwa na mhudumu wa ndege na kumuambia ananuka wahudumu na abiria wamelalamika hivyo rubani wa ndege kwa mamlaka aliyonayo kamkataza kupanda ndege.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni