.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 10 Agosti 2014

NCHI YA GUINEA YAFUNGA MIPAKA YAKE NA LIBERIA PAMOJA NA SIERRA LEONE ILI KUDHIBITI EBOLA

Nchi ya Guinea imefunga mipaka yake na Liberia pamoja na Sierra Leone katika kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa hatari wa Ebola uliokwisha uwa watu 959 katika nchi hizo tatu.

Mlipuko huo wa sasa wa Ebola inaaminika ulianzia Guinea, hata hivyo Liberia na Sierra leone ndizo kwa sasa zinakabiliwa na kasi kubwa ya maambukizi mapya ya virusi vya Ebola.

Shirika la Afya Duniani (WHO) Ijumaa lilitangaza kuwa kusambaa kwa virusi vya ugonjwa huo ni janga la afya la dharura.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni