Naibu Spika wa Bunge la
Tanzania,Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiwa ameambatana na
waheshimiwa Wabunge Saleh Ahmed Pamba, (Pangani), Abdulkarim Esmail
Hassan Shah (Mafia) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa
Tanzania nchini Malaysia Dkt. Aziz Ponary Mlima (wa tatu kulia)
pamoja na maafisa wa Ubalozi huo wakati walipotembelea Ubalozini hapo
wakiwa kwenye ziara ya kikazi nchini Malaysia.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni