Nyumba ya Mama Sara Obama, ambaye ni
bibi wa Rais Barack Obama inatarajiwa kufanya kivutio cha utali
katika kaunti ya Siaya nchini Kenya.
Gavana wa Siaya, Cornel Rasanga
nyumba hiyo imekuwa ikipokea idadi kubwa ya wageni wa ndani na
kimataifa kutokana na watu wengi kutaka kujua asili ya wazazi wa
Obama.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni