Jumatatu, 4 Agosti 2014
RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA WANAJUMUIYA YA WATANZANIA WA DMV KATIKA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI WASHINGTON
Viongozi wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC. Hafla hii ilidhaminiwa na Benki ya Azania kupitia huduma yake mpya ya Diaspora Banking
Viongozi na wanachama wa Jumuiya ya Watanzania DMV wakati wakimsubiri Rais Jakaya Mrisho Kikwete Jumapili Julai 3, 2014 katika hoteli ya Marriot jijini Washington DC
Wajumbe wa Bodi ya Jumuiya ya Watanzania DMV
Rais Kikwete akimsalimia mmoja wa watoto waliokuwepo kumlaki
Rais Kikwete akilakiwa na wanajumuiya
Rais Kikwete, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe, Balozi wa Tanzania Marekani Mhe Liberata Mulamula na Bi Rose Jairo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora wakijadiliana jambo meza kuu
Sehemu ya wanajumuiya na wageni toka sehemu mbalimbali wakiwa katika mkutano huo
Washiriki wa mkutano huo
Wanajumuiya wakiwa wametulia mkutanoni
Wanajumuiya
Wanajumuiya toka kila kona ya DMV na sehemu mbalimbali za Marekani
Sehemu ya viongozi wa Jumuiya na wanajumuiya
Wote wametulia wakifuatilia kinachoendelea
Wanajumuiya
Wanajumuiya
Wanajumuiya
Sehemu ya nyomi ya wanajumuiya
Wanajumuiya pamoja na baadhi ya viongozi
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


















Hakuna maoni :
Chapisha Maoni