Mwanamke huyo raia wa Sierra Leone aliyesafiri na ndege ya shirika la ndege la Gambia, alitapika sana na kutokwa na jasho jingi sana alipofika katika uwanja wa ndege wa Gatwick, na alifariki muda mfupi baada ya kufikishwa hospital.
Hata hivyo vipimo baadaye vilionyesha mwanamke huyo hakufariki kwa ugonjwa wa Ebola ambao tayari umeshaua zaidi ya watu 256 nchini Sierra Leone.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni