.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 11 Agosti 2014

WALINZI WATIIFU WA WAZIRI MKUU WA IRAK WARANDA KATIKA JIJI LA BAGHDAD

Vikosi vya ulinzi vitiifu kwa Waziri Mkuu wa Irak Nour Maliki vinaranda randa katika Jiji la Baghdad baada waziri huyo kwenda kwenye televisheni ya taifa kumkosoa rais.

Maliki ambaye anawania kuchaguliwa kwa awamu ya tatu, anakabiliwa na wito wa kumtaka ang'atuke madarakani kutokana na harakati za waislamu eneo la kaskasini.

Marekani ambayo imeiomba Irak kuunda serikali ya kitaifa, na kutoa kauli ya kumuunga mkono rais Faud Masum.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni