.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 31 Agosti 2014

WATUMISHI WOTE WA UMMA NCHINI KENYA KUANDIKISHWA KWA KUTUMIA MFUMO WA BIOMETRIC

Zoezi la kuandikisha watumishi wote wa umma nchini Kenya pamoja na wa serekali za kaunti kwa kutumia tekinolojia ya mfumo wa biometric, litaanza kesho nchini humo majira ya saa tatu asubuhi.

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta atazindua rasmi zoezi hilo na Naibu Rais wake William Ruto pamoja na Gavana wa Nairobi Dk. Evans Kidero wakiwa kwenye ofisi zao kila mmoja.

Waziri wa Mgawanyo wa Madaraka na Mipango nchini Kenya Bi. Anne Waiguru amesema ofisi yake imewaandikiwa mawaziri wote kushiriki zoezi hilo la kujiandikisha kwa kutumia mfumo huo wa kielektroniki.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni