.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 2 Septemba 2014

MAREKANI YAFANYA OPERESHENI YA KIJESHI DHIDI YA AL-SHABAAB NCHINI SOMALIA

Marekani imesema imefanya operesheni za kijeshi dhidi ya kundi la kigaidi la al-Shabaab nchini Somalia .

Msemaji wa Pentagon amesema kwa sasa wanafanya tathimini ya operesheni hiyo iliyofanyika jana kabla ya kutoa taarifa zaidi.

Hata hivyo maafisa wa Marekani wanenukuliwa na vyombo vya Marekani wakisema operesheni hiyo ilimlenga kiongozi wa juu wa al-Shabaab.

Kundi hilo lenye uhusiano na la al-Qaeda lilipoteza umiliki wa Mogadishu kwa vikosi vya Umoja wa Afrika mwaka 2011, lakini bado linashikilia maeneo ya kusini na ya kati ya Somalia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni