.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumamosi, 20 Septemba 2014

MKONO WA POLE

Jumuia ya Wazanzibari wanaoishi Nchini CANADA na waliowahishi katika nchi hiyo (ZACADIA wa Canada na Zanzibar) wanatoa mkono wa rambirambi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, wafanyakazi wote wa ikulu,Zanzibar kwa kifo cha mkurugenzi wa Diaspora khamis ali.

Kamati ya ZACADIA (Canada na Zanzibar) wanatoa mkono wa pole kwa Mheshimiwa rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na wafanyakazi wote wa Ikulu Zanzibar kwa kifo cha Mkurugenzi wao Khamis Ali. Mwenyezi mungu ailaze roho ya Marehemu peponi..Amin

Na kuwapa pole Familia ya ndugu Khamis ali na kwa Diaspora wote walioko nje na ndani ya Zanzibar

Bi Firdaus Rabia

Mwenyekiti, ZACADIA

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni