.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 19 Septemba 2014

WANANCHI WA SCOTLAND WAAMUA KUBAKIA KATIKA UMOJA WA KIFALME WA UK

Wananchi wengi wa Scotland wamepiga kura ya kutaka kubakia kwenye Umoja wa Kifalme wa (UK) baada ya kura nyingi kupinga suala la kutaka kujitenga.

Baada ya kuhesabiwa kura katika kata 31 kati ya 32, wananchi wanaopinga kujitenga wamepata kura 1,914,187 dhidi ya 1,539,920 za wanaotaka kujitenga.
                                  Kambi ya wanaotaka kujitenga wakiwa wamejikunyata
    Huyu nae alijikuta akiwa anasikilizia machungu ya kushindwa akiwa mpweke

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni