.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 23 Septemba 2014

WAZIRI MKUU PINDA AKIWA MKOANI RUKWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua shule ya Sekondari ya Magnificat wilayani Siha Septemba 20, 2014. Kushoto ni mkewe Tunu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee wa Mpanda baada ya kuzungumza na mjini Mpanda Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka Sumbawanga kuelekea Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa shule ya Msingi ya Kakuni wilayani Mlele Septemba 22, 2014. Alikuwa njiani akitoka Sumbawanga kuelekea Dodoma. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Rajab Rutengwe. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni