Hali ya kukubalika zaidi rais Rais
Uhuru Kenyatta mbele ya umma, imeongezeka zaidi baada ya kuenda
katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kusikiliza mashtaka
yanayomkabili.
Hilo limebainishwa na katika kura ya
maoni iliyofanywa na Ipsos, na kutolewa jana jioni, ambapo wananchi
wameonekana kumkubali zaidi rais Kenyatta kutoka asilimia 43 miezi
miwili iliyopita hadi hadi kufikia asilimia 71.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni