.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 19 Oktoba 2014

KOCHA WA SUNDERLAND GUS POYET ALIA NA KIPIGO CHA MABAO 8-0

Kocha wa Sunderland, Gus Poyet amesema kipigo ilichopata timu yake cha mabao 8-0 kutoka kwa Southampton ni moja ya tukio la kuaibisha mno katika mchezo wa soka.

Sunderland imepoteza vibaya mchezo wake wa Ligi Kuu ya Uingereza ikiwa ni kipigo kikubwa kuwahi kupata tangu miaka 32 kupita katika dimba la St Mary's. 
                                         Victor Wanyama akifurahi goli la saba alilolifunga
 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni