.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 22 Oktoba 2014

MAREKANI KUCHUNGUZA TUKIO LA SILAHA ZILIZODONDOSHWA KIMAKOSA KWA WAPIGANAJI WA IS

Idara ya Ulinzi ya Marekani imesema inachunguza video ya wapiganaji wa Dola ya Kiislama (IS) inayoonyesha wapiganaji wa kundi hilo wakiwa na silaha za Marekani zilizodondoshwa kwa ndege kwa ajili ya wapiganaji wa Kikurdi.

Jumla ya vifurushi 27 vikiwa na silaha ndogo za kivita, risasi pamoja na vifaa vingine vya kivita vilidondoshwa Jumatatu, ili kuwasaidia wakurdi kuulinda mji wa Kobane dhidi ya IS.

Msemaji wa Pentagon amesema idadi kubwa ya silaha hizo zimewafikiwa walengwa na zipo katika mikono salama.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni