.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 22 Oktoba 2014

WAKENYA WALIOKWAMA LIBERIA WATASAFIRISHWA ILI KUWAEPUSHA NA EBOLA

Katibu Mkuu wa Shirika la Msalaba Mwekundu Kenya Bw. Abbas Gullet

Chama cha Msalaba Mwekundu Kenya, kitawasafirisha kwa ndege kutoka Liberia raia 12 wa Kenya waliokwama katika nchi hiyo iliyokumbwa na mlipuko wa Ebola.

Shirika hilo la Misaada ya Kibinadamu litawanunulia tiketi za ndege wakenya hao na baadae kupeleka madai yao Wizara ya Mambo ya Nje.

Makubaliano hayo yamefikiwa jana baada suala hilo kuingiliwa kati na baadhi ya wakenya wanaofanya kazi katika Mashiriki ya Kimataifa nchini Liberia.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni