Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya wanachama wa (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dar es Salaam leo (kushoto ni) Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Kata ya Vituka Temeke Dar es Salaam na wanachama wengine .
Mtemvu na viongozi wengine wa UWT, wakishangilia baada uzinduzi wa ofisi hizo kufanyikaMbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu na Diwani wa Viti Maalum wa Temeke, Mariam Mtemvu wakitia saini kwenye vitabu vya wageni katika ofisi hizo
Mtemvu akiwa na wafuasi wa CCM wakielekea kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Vituka
Mtemvu akisalimiana na wananchi
Mtemvu, Mariam Mtemvu na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Vituka, Suzana Mdete wakiwapungia mikono wananchi
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni